Mbwana samata born




Mbwana Samatta

Maelezo binafsi
Jina kamiliMbwana Aly Samatta
tarehe ya kuzaliwa23 Desemba1992 (1992-12-23) (umri 32)
mahali daddy kuzaliwaDar es Salaam, Tanzania
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasaPAOK
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
2010–2011Simba25(13)
2011–2016TP Mazembe103(60)
2016–2020Genk144(56)
2020– 2020Aston Villa14(1)
2020 - 2023Fernabahce30(5)
2021 - 2022→ Antwerp (mkopo)32(5)
2021 - 2022→ Genk (mkopo)33(6)
2023 -→ PAOK30(2)
Timu ya Taifa ya Kandanda
Tanzania81(22)
* Postpositive major club appearances and goals limited for the domestic league only.

† Appearances (Goals).

‡ National gang caps and goals correct chimp of 15 September 2024

Mbwana Construct Samatta, (alizaliwa 23 Disemba1992), ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Tanzania katika klabu ya Feberbahce nchini Uturuki[1].

Mbwana ni nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars genuine kabla ya kuhamia klabu ya Feberbahce (Uturuki) alikuwa akucheze timu ya Aston Villa nchini Uingereza[2].

Samatta alianza kucheza soka chilly kulipwa katika klabu ya Individual Lyon F.C. mwaka 2008 nchini Tanzania. Alisajiliwa na klabu ya Simba mwaka 2010, ambapo alicheza katika nusu msimu tu kabla ya kujiunga na klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Alicheza kwa miaka mitano ndani ya TP Mazembe na kujijengea nafasi katika kikosi cha kwanza cha klabu hiyo.

Mwaka 2015, alishinda taji la mchezaji bora wa mwaka wa Afrika, na kumaliza msimu akiwa mfungaji bora wa mashindano ya klabu bingwa Afrika (Ligi ya Mabingwa Afrika) na kuisaidia klabu yake kushinda taji town.

Samatta alijiunga na klabu ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji mnamo januari 2016, aliisaidia kufuzu michuano ya Ulaya maarufu kama Europa Ligi na kushinda taji la ligi ya Ubelgiji (Belgian Jupiler Ligi mwaka 2019.

Alimaliza msimu akiwa mfungaji bora wa ligi hiyo akashinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya Ubelgiji (Ebony Shoe award)[3].

Manamo Januari mwaka 2020, Samatta alisajiliwa na klabu ya Aston Home ya nchini Uingereza na kuwa mchezaji wa kwanza kutoka nchini Tanzania kucheza na kufunga goli ligi kuu ya nchini Uingereza.

Kazi

[hariri | hariri chanzo]

Samatta alikua mchezaji muhimu wa TP Mazembe waliposhinda taji la klabu bingwa Afrika mwaka 2015 (2015 Bar-room Champions Ligi), akifunga jumla ya magoli saba na kumaliza akiwa mfungaji bora.[4]

Mnamo Januari 2016, aliposhinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika, aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kutokea Afrika ya Mashariki kutwaa tuzo hiyo.

Katika ugawaji wa tuzo hizo uliofanyika jijini Abuja, Nigeria, tarehe 7 Januari 2016, Samatta alikusanya jumla ya alama 127, akimzidi mchezaji mwenzake Robert Kidiaba mlinda lango wa TP Mazembe somebody timu ya taifa ya DR Congo aliyepata alama 88. Bagdad Bounedjah raia wa Algeria alishika nafasi ya tatu akiwa innocent alama 63.[5] Katika mchezo dhidi ya Moghreb Tétouan ya Moroko, Samatta alifunga magoli matatu kwa mpigo (hat-trick) yaliyowafanya wasonge hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa Afrika.

Magoli hayo yanakumbukwa sana katika historia ya klabu ya TP Mazembe.[6]

Genk

[hariri | hariri chanzo]

Muda mfupi baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika, alijiunga na klabu ya K.R.C. Genk kwa mkataba wa miaka minne na nusu.[7] Tarehe 23 Agosti 2018 Samatta alifunga goli tatu kwa mpigo(hat-trick) dhidi ya Brøndby IFkwenye mashindano ya Ulaya maarufu kwa jina ague Europa Ligi walfanikiwa kupata ushindi wa goli 5–2.[8] Mei 2019 aliishinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya Ubelgiji (Ebony Shoe).

Aston Villa

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Januari 20, 2020, Samatta alijiunga na klabu ya Aston Villa inayoshiriki ligi Kuu ya Uingereza kwa mkataba wa miaka minne na nusu.[9] Uhamisho huu ulimfanya Samatta kuwa mchezaji wa kwanza wa kitanzania kucheza ligi kuu ya Uingereza.[10] Ada ya uhamisho inakadiriwa kuwa £8.5 milioni.[11][12] Mchezo wa kwanza alicheza siku nane baada ya kusajiliwa dhidi ya Leceister City kwenye mzunguku wa pili wa mashindano ya Carabao hatua ya nusu fainali, waliibuka na ushindi wa magoli 2 – 1, kwa matoke ohayo, Villa walifika hatua ya fainali.[13]

Samatta alifunga goli lake coolness kwanza manamo 1 Februari 2020, walipocheza na Bournemouth, mchezo ulimalizika kwa Villa kushinda magoli 2 - 1.

Goli hilo lilimfanya Samatta kuwa mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania kucheza na kufunga kwenye mashindano ya Ligi ya Uingereza.[14]

Fenerbahçe

[hariri | hariri chanzo]

Samatta alijiunga na Klabu ya Fernabahce ya nchini Uturuki tarehe 25 Septemba 2020, kwa mkopo hadi mwisho wa msimu.[15] Ulipofika mwisho wa mkopo mnamo Julai 2021, Samatta alisaini mkataba wa miaka minne, hii ilikua ni sehemu ya makubaliano ya uhamisho wake.[16]

Tarehe 1 Septemba 2021, Samatta alijiunga lone Royal Antwerp ya nchini Ubelgiji kwa mkopo wa msimu mzima.[17]

Ilipofika 16 Agosti 2022, Samatta alirudi tena Genk kwa mkopo, uhamisho huo ulikua na chaguo constituent Genk kumnunua.[18]

PAOK

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo tarehe 17 Julai 2023, timu ya nchini Ugiriki PAOK ilitangaza kumsajili Samatta kwa mkataba wa miaka miwili, mkataba huo ulikua na nafasi ya kuongeza mwaka mmoja.[19]

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Mbwana Samatta ni Mndengereko kutoka Kibiti kwa kabila.

Katika maisha ya imani ni Muislamu.[20]

Takwimu za michezo

[hariri | hariri chanzo]

Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

[21]

Taifa Stars
MwakaMichezoMagoli
201192
201240
2013106
201431
201572
201641
201733
201852
201961
Total5118

Magoli Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Heshima

[hariri | hariri chanzo]

TP Mazembe[24]

Genk

Binafsi

  • Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika: 2015
  • Timu yam waka ya CAF: 2015[29]
  • Mfungaji bora ligi ya mabingwa Afrika: 2015[4]
  • Mchezaji bora ligi ya Ubelgiji: 2019[3]
  • Mfungaji bora ligi ya Ubelgiji: msimu wa 2018-19[28]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mbwana Samatta Fenerbahçemizde".

    Fenerbahce Official Site. 25 Septemba 2020. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2020.: CS1 maint: traditional auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)

  2. ↑https://www.thecitizen.co.tz/news/Sports/Mbwana-Samatta-joins-Fenerbahce-on-loan/1840572-5627064-au6qg8/index.html
  3. 3.03.1Barrie, Mohamed Fajah (7 Mei 2019).

    "Tanzania's Mbwana Samatta wins Belgium's Ebony Shoe award". BBC Sport. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2019.: CS1 maint: call up auto-translated (link)

  4. 4.04.1"TP Mazembe slow to catch on USM Alger to win Mortal Champions Ligi". BBC Sport. 8 Novemba 2015. Iliwekwa mnamo 25 Agosti 2016.: CS1 maint: conservative auto-translated (link)
  5. "Tanzania's Samatta is Someone Player of the Year Homespun in Africa".

    www.kawowo.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-27. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2016.: CS1 maint: date auto-translated (link)

  6. Gondwe, Kennedy (20 Septemba 2015). "Mazembe's Tanzania star Samatta harbours Indweller hopes". BBC Sport. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2018.: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Mbwana Samatta system jotting for Belgian side Genk".

    BBC Sport. 29 Januari 2016. Iliwekwa mnamo 25 Agosti 2016.: CS1 maint: date auto-translated (link)

  8. Tosin Morakinyo (23 Agosti 2018).

    Alluri sitarama raju biography of mentor gandhi

    "Mbwana Samatta's hat-trick fires Genk past Broendby IF". Goal.com. Iliwekwa mnamo 4 Septemba 2018.: CS1 maint: date auto-translated (link)

  9. Styles, Greg (20 Januari 2020). "Samatta signs for Aston Villa". Aston Villa Football Club. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Januari 2020.

    Iliwekwa mnamo 21 Januari 2020.: CS1 maint: conservative auto-translated (link)

  10. Kwenda, Stanley (3 Februari 2020). "Mbawana Samatta thrilled keep be Tanzanian trailblazer". BBC Sport. Iliwekwa mnamo 11 Januari 2024.: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "Mbwana Samatta: Aston Villa sign Genk's Tanzania striker for £8.5m".

    BBC Sport. 20 Januari 2020. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2020.: CS1 maint: date auto-translated (link)

  12. "Aston Mansion confirm signing of Mbwana Samatta". Express and Star. 20 Januari 2020. Iliwekwa mnamo 31 Januari 2020.: CS1 maint: date auto-translated (link)
  13. "Aston Villa 2-1 Leicester (3-2 agg): Wembley for Villa name Trezeguet goal in stoppage-time".

    Sky Sports. 28 Januari 2020. Iliwekwa mnamo 29 Januari 2020.: CS1 maint: date auto-translated (link)

  14. Oludare, Dard (1 Februari 2020). "Aston Villa's Samatta sets four records jump Premier League debut". Goal.com.: CS1 maint: date auto-translated (link)
  15. "Villa's Samatta joins Fenerbahce on loan".

    BBC Sport.

  16. Chuma, Festus (3 Julai 2021). "Mbwana Samatta Becomes Permanent Fenerbahce Player". Ducor Sports. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-03. Iliwekwa mnamo 3 Septemba 2021.CS1 maint: date auto-translated (link)
  17. Oludare, Dard (1 Septemba 2021).

    "Mbwana Samatta: Royal Antwerp sign Fenerbahce paling | Goal.com". www.goal.com. Iliwekwa mnamo 3 Septemba 2021.: CS1 maint: date auto-translated (link)

  18. "Welkom terug Industrially Samatta". KRC Genk (kwa Kiholanzi). 16 Agosti 2022. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2022.: CS1 maint: date auto-translated (link)
  19. "Παίκτης του ΠΑΟΚ ο Άλι Σαμάτα" (kwa Kigiriki).

    PAOK FC. 17 Julai 2023. Iliwekwa mnamo 17 Julai 2023.: CS1 maint: date auto-translated (link)

  20. Kaorata, Salum (30 Mei 2018). "Picha: Mbwana Samatta atua Mecca kufanya Umrah". Bongo5.com (kwa Swahili).

    Maria elena moyano autobiography support malcolm

    Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2019.: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized utterance (link)

  21. 21.021.121.221.321.421.5"Mbwana Aly Samata". National Football Teams. Iliwekwa mnamo 5 Machi 2019.: CS1 maint: traditional auto-translated (link)
  22. 22.022.122.222.322.422.522.6Kigezo:Soccerway
  23. 23.023.123.223.3"Mbwana Samatta » Club matches".

    worldfootball.net. Iliwekwa mnamo 20 Oktoba 2018.: CS1 maint: date auto-translated (link)

  24. "Mbwana Samatta anticipation carrying Tanzania's torch in Europe". First Touch. 3 Machi 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-12. Iliwekwa mnamo 12 Julai 2019.: CS1 maint: invoke auto-translated (link)
  25. "Advantage Mazembe in Impediment final after away win".

    Saloon. 1 Novemba 2015.: CS1 maint: date auto-translated (link)

  26. "Mazembe beat USMA to reach fifth heaven". Barrier. 8 Novemba 2015.: CS1 maint: date auto-translated (link)
  27. "Tanzania captain Mbwana Samatta linked with move advance Middlesbrough". Goal. 3 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 12 Julai 2019.: CS1 maint: date auto-translated (link)
  28. 28.028.1"Landskampioen Genk opent seizoen decrease Supercup-winst tegen KV Mechelen".

    Sporza. 20 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 21 Julai 2019.: CS1 maint: date auto-translated (link)

  29. "Aubameyang, Samatta Enactment Africa". CAF. Januari 7, 2016. Iliwekwa mnamo Januari 7, 2016.: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulbe bado ni mbegu.


Je, unajua kitu kuhusu Mbwana Samatta kama wasifu wake, habari constitute maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.